Aljebra (kutoka katika Kiarabu "al-jabr", inamaanisha "muungano wa sehemu zilizovunjika") ni tawi mojawapo la hisabati pamoja na nadharia ya namba, jiometri na uchambuzi.

Ukurasa wa kitabu al-Kitāb al-muḫtaṣar fī ḥisāb al-ğabr wa-l-muqābala cha Al-Khwārizmī.

Sifa maalumu ya aljebra ni kwamba inatumia ishara kutatua matatizo ya hisabati, kwa mfano kupiga hesabu hata kama namba fulani ndani yake haijulikani.

Katika muundo wake wa kiujumla, aljebra ni somo la ishara za kihisabati na sheria za kuendesha ishara hizo; ni uzi unaounganisha karibu matawi yote ya hisabati. Inajumuisha kila kitu kutoka kwenye misingi ya kutatua milinganyo.

  • Mfano mmoja ni mlinganyo ufuatao ambapo ni kutofautiana:
Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aljebra kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.