Allison Crimmins

Mtaalamu wa hali ya hewa wa Marekani

Allison Crimmins ni mwanasayansi wa hali ya hewa nchini Marekani na mkurugenzi wa tathmini ya hali ya hewa tangu mwaka 2021 hadi sasa.[1] Aliteuliwa na Rais Joe Biden na kuchukua nafasi ya Betsy [2]. Betsy aliyeteuliwa na raisi Trump. Allison Crimmins ana shahada ya uzamili ya sayansi katika chuo kikuu cha san Francisco. Pia ana shahada ya sera za umma kutoka chuo kikuu ya Harvard kennedy. Allison Crimmins alifanya kazi na shirika la U.S global change Research program mnamo mwaka 2006.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allison Crimmins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.