Allister MacGillivray

Allister MacGillivray ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo, mpiga gitaa, na mtaalamu wa historia ya muziki kutoka eneo la Cape Breton Island Cape Breton la Nova Scotia, Kanada. Alizaliwa 17 Januari, 1948, katika mji wa uchimbaji makaa ya mawe na uvuvi wa Glace Bay.[1][2]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allister MacGillivray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.