Nova Scotia

Nova Scotia (kwa Kilatini. Kwa Kiswahili: Uskoti Mpya; kwa Kiingereza: New Scotland; kwa Kigaeli: Alba nuadh; kwa Kifaransa: Nouvelle-Écosse) ni jimbo la Kanada upande wa mashariki ya nchi. Imepakana na New Brunswick upande wa magharibi, Bahari Atlantiki upande wa mashariki.

Nova Scotia

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Halifax
Tovuti: http://www.gov.ns.ca/
Halifax, Nova Scotia

Nova Scotia ni jimbo dogo la pili la Kanada. Ni moja kati ya majimbo 3 ya baharini (kwa Kiingereza: Maritime provinces).

Mji mkuu na mji mkubwa ni Halifax.

Jimbo lina wakazi wapatao 939,531 (2009) katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 55,283.

Gavana wa jimbo ni Arthur Joseph LeBlanc.

Lugha rasmi ni Kiingereza.

Miji MikubwaEdit

  1. Halifax (372,679)
  2. Cape Breton (102,250)
  3. Lunenburg (25,164)

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nova Scotia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.