Allvar Gullstrand (5 Juni 186228 Julai 1930) alikuwa daktari wa macho kutoka nchi ya Sweden. Hasa alichunguza mfumo wa jicho. Mwaka wa 1911 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Allvar Gullstrand

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allvar Gullstrand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.