Almas Athuman Maige

Almas Athuman Maige ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Tabora Kaskazini kwa miaka 20152020. [1] mwaka 2015-2018 alikuwa mwenyekiti msaidizi wa kamati ya upendeleo wa bunge, maadili na madaraka.[2]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.