Almasi za damu
Almasi za damu (pia: almasi zenye mgogoro; kwa Kiingereza: Blood diamonds, conflict diamonds, war diamonds, hot diamonds, au red diamonds) ni istilahi inayotumiwa kwa ajili ya almasi zinazochimbwa katika ukanda wenye vita na kuuzwa na hatimaye kufadhili machafuko ya kivita katika ukanda husika. Istilahi hiyo inatumika kuangazia matokeo mabaya ya biashara ya almasi katika baadhi ya maeneo, au kupachika majina kwa wauzaji au muuzaji anayejihusisha na almasi zinazotokana na maeneo hayo.
Almasi zilizochimbwa hivi karibuni katika kanda za kivita huko nchini Angola, Ivory Coast, Sierra Leone, Liberia, Guinea, Ghana, na Guinea Bissau zote zimepewa jina la almasi za damu.[1][2][3] Hali hii ilikuja kupata ufumbuzi baada ya azimio la "Mkataba wa Kimberley".
Viungo vya nje
hariri- The Truth About Blood Diamonds — The international focus on "conflict minerals" is a self-serving charade.; The Wall Street Journal
- Diamonds in Conflict - Global Policy Forum
- PAWSS Conflict Topics - Conflict Diamonds
- DiamondFacts.org - World Diamond Council
- AllAsOne.org - Blood diamond trade awareness
- Stop Blood Diamonds - Blood diamonds awareness initiative
- Stopping Blood Diamonds - The success of the Kimberley Process
- Africa's War with Blood Diamonds Ilihifadhiwa 4 Aprili 2019 kwenye Wayback Machine.
- Canadian Mined Diamonds
- Diamond Dealers in Deep Trouble as Bank Documents Shine Light on Secret Ways - Documentation about financial flows between HSBC Private Bank and blood diamond dealers, see also Swiss Leaks
- Editora Oferece "Diamantes de Sangue" em Formato Digital a Todos. Maka Angola, Editora da Tinta da China
- (Kireno)
- ↑ Conflict Diamonds. United Nations Department of Public Information, March 21, 2001, archived online 23 October 2013.
- ↑ "Conflict resources: from 'curse' to blessing" by Ernest Harsch. Africa Renewal: January 2007.
- ↑ "Global Summary 2008" (PDF). Kimberley Process Certification Scheme. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2011-07-26.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)