Amadi (jimbo)

Amadi State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Amadi State
Mahali pa Amadi katika Sudan Kusini
Mahali pa Amadi katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Mundri
Idadi ya kaunti 3
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Joseph Ngere

Imegawanyika katika kaunti 3: Mundri West County, Mundri East County na Mvolo County.

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amadi (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.