Amando wa Strasbourg

Amando wa Strasbourg (290 hivi - 355 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa Strasbourg (leo nchini Ufaransa)[1].

Mt. Amando akiwa amevaa kiaskofu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Vyanzo

hariri
  • Médard Barth, « Zum Kult der heiligen Bischöfe Amandus von Strassburg, Maastricht und Worms im deutschen Sprachraum », Freiburger Diözesanarchiv,‎ 1971, p. 5-64.
  • Édouard de Moreau, Saint-Amand, apôtre de la Belgique et du Nord de la France, Louvain, 1927.
  • Francis Rapp, « AMAND », dans Fédération des Sociétés d’Histoire et d’Archéologie d’Alsace, Nouveau dictionnaire de biographie alsacienne, vol. 1, 1982, p. 34
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.