Open main menu

Orodha ya Watakatifu wa Afrika

Yosefina Bakhita kutoka Darfur, Sudan ya leo.

Hii Orodha ya Watakatifu wa Afrika inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa, waliishi au walifariki barani humo (katika mabano mara nyingi inatajwa nchi ya leo).

Kabla ya UislamuEdit

Katika karne sita za kwanza za Kanisa, Afrika lililizalia viongozi wake wengi. Kumbe baada ya Mtaguso wa Kalsedonia (451), uliwauatwa na farakano la Wakopti, na hasa baada ya Waarabu kuteka Afrika Kaskazini yote (karne ya 7), Kanisa Katoliki karibu lilitoweka barani humo.

Watu wa BibliaEdit

MapapaEdit

Watatu kati ya Mapapa wa karne za kwanza walizaliwa Afrika au Roma na wazazi kutoka Afrika. Wote hao wanaheshimiwa kama watakatifu:

Walimu wa KanisaEdit

Kati ya walimu wa Kanisa, watatu walitokea Afrika:

Waandishi na wanateolojiaEdit

Waandishi na wanateolojia wengi walitokea Afrika au waliishi huko, kama vile watakatifu:

WengineoEdit

Karne za KatiEdit

Kati ya watakatifu waliowahi kufika Afrika katika karne za kati maarufu zaidi ni:

Nyakati zetuEdit

Kati ya waliotangazwa na Mapapa baadaye kuna (miaka na nchi ya Afrika alipoishi):

Karolo LwangaMatias Mulumba KalembaAndrea KaggwaAtanasi BazzekukettaGonzaga GonzaNoe MawaggaliLuka BanabakintuYakobo BuzabaliawoGyavira MusokeAmbrosio KibuukaAnatoli KiriggwajjoAchile KiwanukaKizitoMbaga TuzindeMugagga LubowaYosefu Mukasa BalikuddembeAdolfo Mukasa LudigoBruno SserunkumaYohane Maria Muzei, TanzaniaDionisi SsebuggwawoPonsyano NgondweMukasa Kiriwawanvu

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

VyanzoEdit

  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Watakatifu wa Afrika kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.