Orodha ya Watakatifu Wafransisko

Orodha ya Watakatifu Wafransisko ifuatayo inaripoti majina ya Wafransisko wote waliotangazwa watakatifu, sifa zao pamoja na miaka ya kuzaliwa na kufa kwao na tarehe za kuadhimishwa na Kanisa Katoliki.

Kanuni ya Ndugu Wadogo iliyoandikwa na Mt. Fransisko na kuthibitishwa na Papa Honorius III.

Wameorodheshwa kufuatana na utawa na mwaka ya kuzaliwa, isipokuwa mwanzilishi aliyepewa nafasi ya kwanza.

Alama ya ulizo inaonyesha wasiwasi kuhusu mtakatifu fulani kujiunga na utawa au kuhusu mwaka wa kuzaliwa au kufa.

Katika liturujia wanaadhimishwa pia pamoja tarehe 29 Novemba, siku ya Kanuni kuthibitishwa na Papa Honorius III.

Utawa wa Kwanza Edit

Utawa wa Pili Edit

Utawa wa Tatu - Waregulari Edit

Utawa wa Tatu - Wasekulari Edit

Tazama pia Edit