Amba Alagi ni mlima unaopatikana kaskazini mwa nchi ya Ethiopia katika Ukanda wa Debubawi, Jimbo la Tigray ukiwa na urefu wa mita 3949 [1].

Amba Alagi mwaka 1868.

Marejeo hariri

  1. "Amba Alagi Mountain Information". www.mountain-forecast.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-29. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amba Alagi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.