Jimbo la Tigray
Jimbo la Tigray (pia: Tigre) ni jimbo la Ethiopia ya kaskazini na sehemu za nyanda za juu.
ትግራይ ክልል Jimbo la Tigray |
|||
| |||
Mahali pa Jimbo la Tigray katika Ethiopia. | |||
Nchi | Ethiopia | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Mek'ele | ||
Eneo | |||
- Jumla | 50,078 km² | ||
Idadi ya wakazi (2001) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 4.334.996 |
Makao makuu ni Mekelle.
Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kitigre au Kitigrinya. Idadi kubwa hufuata Ukristo wa Waorthodoksi wa mashariki, lakini kuna Waislamu pia.
Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi alikuwa mwenyeji wa Tigray.
Mji muhimu wa kihistoria ni Aksum ambapo ni chanzo cha Ethiopia.
Mji wa Adowa upo Tigray vilevile. Mwaka 1896 uvamizi wa Italia ulishindikana katika mapigano ya Adowa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Tigray kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray |