Amber Barrett
Amber Barrett (alizaliwa 16 Januari 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Ireland ambaye anacheza katika klabu ya wanawake ya FC Köln nchini Ujerumani. Alicheza kwa mara ya kwanza kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Ireland mnamo Septemba 2017. Akiwa kama mshambuliaji mzuri, Barrett alikuwa Mchezaji wa WNL wa msimu mwaka 2017 na mchezaji bora mwaka 2016, 2017 na 2018.[1][2]
Amber Barrett
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Eire |
Jina halisi | Amber |
Jina la familia | Barrett |
Tarehe ya kuzaliwa | 16 Januari 1996 |
Mahali alipozaliwa | Milford |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Mwanachama wa timu ya michezo | 1. FC Köln (women) |
Mchezo | mpira wa miguu |
Marejeo
hariri- ↑ "Amber Barrett dreams of World Cup after parking All-Ireland ambitions", The Irish Times, 8 March 2018.
- ↑ "Donegal's Amber Barrett named player of the year", Ocean FM, 8 November 2017.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amber Barrett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |