Amedeus Msarikie

Amedeus Msarikie (Septemba, 1931 - 7 Februari 2013) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Jozef Tomko mwaka wa 1986. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Moshi hadi 2007, alipostaafu.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amedeus Msarikie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.