Amina Shukri
Mfanyikazi wa kijamii na mwanasiasa wa Misri
Amina Shukri (kwa Kiarabu: أمينة شكرى, 1912 - 1964) alikuwa mfanyakazi wa jamii na mwanasiasa wa Misri. Mnamo 1957 alikuwa miongoni mwa wanawake wawili wa kwanza kuchaguliwa kuwa wabunge.
Wasifu
haririShukri alizaliwa mjini Aleksandria mwaka 1921, mtoto wa Mohamed Abu El-Ezz aliyekuwa mhariri wa magazeti.[1] Alikuwa mtoa huduma za kijamii na alianzisha kituo cha kulea watoto ambacho alikuwa na watoto takribani 400, pia alikuwa mshiriki wa muungano wa kutetea haki za wanawake wa Misri.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "Mohamed El-Demerdash|Publications:- تحرير شخصية أمينة شكري 1912 ــ 1964، موسوعة أعلام مصر في القرنين التاسع عشر والعشرين، مكتبة الإسكندرية ". bu.edu.eg. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ https://www.thetimes.co.uk/tto/archive/frame/viewer/1964-10-21/17/6.html
- ↑ Sullivan, Earl L. (1986-03-01). Women in Egyptian Public Life (kwa Kiingereza). Syracuse University Press. ISBN 978-0-8156-2354-0.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amina Shukri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |