Amon Ashaba Mwiine
Mwanaharakati wa jinsia na mhadhiri wa Uganda
Amon Ashaba Mwiine ni mwanaharakati wa jinsia wa Uganda na mhadhiri katika shule ya mafunzo ya wanawake na jinsia, Chuo Kikuu cha Makerere. Pia alisomea Chuo Kikuu cha Stellenbosch, Afrika Kusini ambako alipata PhD yake (Sosholojia).[1][2][3][4][5]
Marejeo
hariri- ↑ "The ILO Participatory Gender Audit | ITCILO". www.itcilo.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-16.
- ↑ "GREAT - Transform Your Research". GREAT (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-16.
- ↑ "Amon Ashaba Mwiine". CGIAR Gender Platform (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-02-15.
- ↑ "Amon Ashaba Mwiine – School of Women and Gender Studies" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-15. Iliwekwa mnamo 2023-02-15.
- ↑ "Amon Ashaba Mwiine | College of Humanities and Social Sciences - Makerere University". chuss.mak.ac.ug. Iliwekwa mnamo 2023-02-15.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amon Ashaba Mwiine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |