Amos Garrett (alizaliwa 26 Novemba, 1941) ni mwanamuziki wa blues na blues-rock wa Kanada ana asili ya Marekani, mpiga gitaa, mwimbaji, mtunzi, na mpangaji wa muziki. Pia ameandika vitabu vya mafunzo kuhusu muziki na gitaa.[1][2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Amos Garrett: Biography" Archived Mei 12, 2018, at the Wayback Machine, StonyPlainRecords official.com. Retrieved March 30, 2010
  2. Bidini, D. (1998). On a Cold Road. p. 17.
  3. Valenteyn, J., Review of Chick Roberts' Blue Turning Gray, "John's Blues Picks, November 2004" Archived Februari 13, 2010, at the Wayback Machine, Toronto Blues Society official website. Retrieved March 23, 2010.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amos Garrett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.