Blues ni aina ya muziki ambao ulianzia nchi Marekani mwanzoni kabisa mwa karne ya 20. Uliazishwa na watumwa wa zamani wa Kiafrika waliokuwa wakiimba nyimbo za kiroho, nyimbo za utukufu, na muziki wa chant.

Wanamuziki wa mwanzoni kabisa wa muziki wa blues Bi. Bessie Smith.
Taj Mahal Blues Trio

Baadhi ya wanamuziki wa blues

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blues kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.