An Ba-ul
Judo ya Korea Kusini
Hili ni jina la Kikorea, jina la familia anaitwa An

An Ba-ul(maarufu kama An Baul; Hangul: 안바울, Kikorea : [an.ba.ul; alizaliwa 25 Machi 1994) ni mwanamichezo wa judo huko Korea Kusini.[1]
An ndiye Bingwa wa zamani wa Dunia katika mchezo wa judo wa uzani mwepesi.[2] Alipata umaarufu kwa kuwa bingwa wa kwanza wa Korea Kusini wa uzani mwepesi katika zaidi ya muongo mmoja.
Marejeo hariri
- ↑ Baul AN / IJF.org. www.ijf.org. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.
- ↑ Korean An Ba-Ul surprises elite taking the world title (en). www.judoinside.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.