Anahita Ratebzad (kwa kidari/kipashto: آناهیتا راتبزاد; Novemba 19317 Septemba 2014) alikuwa mwanasiasa wa mrengo wa kisoshalisti na alifuata siasa za Marxist Leninist huko Afghanistan pia alikua mwanachama wa People's Democratic party of Afghanistan(PDPA) na baraz la mapinduzi chini ya uongozi wa Babrak Karmal.[1]Mmoja kati ya wanawake wa kwanza kuchaguliwa katika bunge la afghanistan, Ratebzad alikuwa naibu mkuu wa nchi kutoka 1980 hadi 1986. [1]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "زن پیشتاز جنبش چپ افغانستان؛ تصاویری از زندگی آناهیتا راتب‌زاد". BBC News فارسی (kwa Kiajemi). 2014-09-17. Iliwekwa mnamo 2022-03-21. 
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anahita Ratebzad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.