Andisiwe Mgcoyi (alizaliwa 16 Juni 1988) ni mchezaji wa soka wa nchini Afrika Kusini na anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya Mitrovica.[1] Aliwakilisha timu ya taifa ya wanawake wa Afrika Kusini katika michezo ya Olimpiki huko London mnamo mwaka 2012.[2]

Andisiwe Mgcoyi
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaAfrika Kusini Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa16 Juni 1988 Hariri
Mahali alipozaliwaAfrika Kusini Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoFK Union Nové Zámky, Mamelodi Sundowns F.C., South Africa women's national association football team Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2012 Summer Olympics Hariri

Marejeo hariri

  1. "SAFA.net - South African Football Association". www.safa.net (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-30. Iliwekwa mnamo 2018-06-03.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "thefinalball.com :: Teams". www.thefinalball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-06-04. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andisiwe Mgcoyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.