André Frédéric Cournand (24 Septemba 189519 Februari 1988) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ufaransa; alihamia Marekani baadaye. Hasa alichunguza magonjwa ya moyo na tiba zake. Mwaka wa 1956, pamoja na Werner Forssmann na Dickinson Richards alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

André Frédéric Cournand
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu André Cournand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.