Andreas Cornelius
Andreas Evald Cornelius (alizaliwa tarehe Machi mwaka 1993) ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Atalanta iliyopo nchini Italia na timu ya Taifa ya Denmark.
Andreas Cornelius
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Denmark |
Nchi anayoitumikia | Denmark |
Jina katika lugha mama | Andreas Cornelius |
Jina la kuzaliwa | Andreas Evald Cornelius |
Jina halisi | Andreas |
Jina la familia | Cornelius |
Tarehe ya kuzaliwa | 16 Machi 1993 |
Mahali alipozaliwa | Kopenhagen |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kidenmark |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Muda wa kazi | 2012 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 11 |
Ameshiriki | Kombe la Dunia la FIFA 2018 |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza |
Atalanta
haririMnamo 2 Mei 2017, ilitangazwa kuwa Andreas Cornelius amejiunga na klabu ya Atalanta iiliyopo nchini Italia katika ligi ya Serie A kwa ada ya karibu € 3.5 milioni.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andreas Cornelius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |