Andrew I wa Kongo (Mvizi a Nkanga kwa Kikongo na D. Andre I kwa Kireno; alifariki 1685/1690) alikuwa Mfalme katika Kibangu mwaka 1685 au 1689/1690 akidai cheo cha Manikongo wa Ufalme wa Kongo [1]

André I, kutoka Kanda Kinlaza, alikuwa mrithi wa Kibangu wa Garcia III wa Kongo mwaka 1685 au 1689. Utawala wake ulikuwa mfupi, chini ya mwaka mmoja, lakini mashahidi wanabainisha kwamba alikufa kifo cha asili, ambacho kilikuwa cha nadra katika ufalme wa Kongo wakati huo. "Kiti" cha Kibangu ilidaiwa na Manuel I.

Tanbihi

hariri
  1. Peter Truhart (1984–1988). Regents of Nations (kwa en + de). Münich: K. G Saur. uk. 239, Costal States/Küstenstaaten Art. « Bakongo ». ISBN 978-3-598-10491-6.{{cite book}}: CS1 maint: date format (link) CS1 maint: unrecognized language (link).
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew I wa Kongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.