Anfield ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo huko Anfield, Liverpool. Anfield ni uwanja wa timu ya Liverpool F.C.. Uwanja huu una uwezo wa kubeba watu 54,074 na kuufanya kuwa uwanja wa sita kwa ukubwa Uingereza.

Anfield

Pamekuwa nyumbani kwa Liverpool F.C. tangu mwaka 1892 ulipoanzishwa.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anfield kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.