Angéline Nadié

Muigizaji wa Ivory Coast

Angéline Nadié (1 Januari 196817 Julai 2021) alikuwa mwigizaji wa nchi ya Ivory Coast[1][2].

Angéline Nadié

Amezaliwa Angéline Nadié
1 Januari 1968
Ivori kosti
Amekufa Julai 2021
Kazi yake Mwigizaji

Nadié aliugua ugonjwa wa saratani kwa miaka mitatu kabla ya kifo chake. Mnamo mwaka 2018, msaada wa pensheni ya serikali uliombwa hadharani kutoka kwa Waziri wa Utamaduni wa Ivory Coast anayeitwa Maurice Bandama.[3][2]

Filamu Zake hariri

  • Ma Famille (2002–2007)
  • Marié du net 1 (2005)
  • Marié du net 2 (2005)
  • Les Oiseaux du ciel (2006)

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angéline Nadié kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.