17 Julai
tarehe
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 17 Julai ni siku ya 198 ya mwaka (ya 199 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 167.
Matukio hariri
- 1048 - Uchaguzi wa Papa Damaso II
- 1695 - Benki ya Uskoti inaanzishwa kwa sheria ya bunge la Uskoti
Waliozaliwa hariri
- 1744 - Elbridge Gerry, Kaimu Rais wa Marekani
- 1888 - Shmuel Yosef Agnon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1966
- 1917 - Phyllis Diller, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1935 - Donald Sutherland, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 1952
- 1954 - Angela Merkel, chansela wa Ujerumani (tangu 2005)
- 1955 - Aggrey Deaisile Joshua Mwanri, mwanasiasa wa Tanzania
- 1956 - Michael George Mabuga Msonganzila, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1966 - Guru, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki hariri
- 656 - Uthman ibn Affan, khalifa wa tatu wa Uislamu auawa mjini Madina
- 855 - Mtakatifu Papa Leo IV
- 1399 - Mtakatifu Hedwiga wa Poland, malkia
- 1790 - Adam Smith, mwanafalsafa kutoka Uskoti
- 1950 - Evangeline Booth, mkuu wa 4 wa Jeshi la Wokovu
- 1959 - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani
- 1967 - John Coltrane, mwanamuziki kutoka Marekani
Sikukuu hariri
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Wafiadini wa Scilla, Yasinto wa Amasra, Yusta na Rufina, Marselina wa Milano, Aleksi wa Roma, Theodosi wa Auxerre, Enodi wa Pavia, Papa Leo IV, Kolmano, Hedwiga wa Poland, Petro Liu Ziyu n.k.
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |