Anggika Bölsterli
Anggika Sri Bölsterli (anajulikana zaidi kama Anggika Bölsterli, alizaliwa 21 Juni 1995) ni mwigizaji kutoka Indonesia.
Bölsterli alianza kazi yake ya uigizaji kwa kuonekana katika mfululizo wa drama Terbang Bersamamu na alikubalika kwa jukumu lake linalojirudia katika mfululizo wa televisheni Putri Duyung.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anggika Bölsterli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |