Angham

Mwimbaji wa Misri, msanii wa kurekodi, na mwigizaji


Angham Mohamed Ali Suleiman alizaliwa 19 Januari 1972 mwimbaji wa Misri, msanii wa kurekodi, na mwigizaji. rekodi yake ya kwanza ilikuwa mwaka 1987 chini ya uongozi wa baba yake, Mohammad Suleiman. Kufuatia talaka yake kutoka kwa Magdy Aref mnamo mwaka 2000, Angham alibadili mtindo wake wa muziki baada ya re, anayejulikana kwa jina moja la Angham ( Arabic ), ni kodi ya Leih Sebtaha ( Why Did You Leave Her) uliomuweka katika nafasi nzuri kimuziki huko Mashariki ya Kati. Baada ya ugomvi uliotangazwa sana kati yake raisi Mohsen Gaber na msanii huyo, [1] Alihamia kampuni nyingine ya kurekodi, kwa jina Rotana .

Angham

Angham akiwa na mume wake wa zamani Fahd
Amezaliwa 19 Januari 1972
Kazi yake mwimbaji wa Misri

Marejeo hariri

  1. "Archived copy". www.l7en.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 September 2007. Iliwekwa mnamo 13 January 2022.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.