Lady Anne Barnard (12 Desemba 1750 - 6 Mei 1825) alikuwa mwandishi wa Uskoti. Alikaa mjini Cape Town, Afrika Kusini, kwa miaka mitano, 1797-1802. Barua zake wakati huo ni chanzo muhimu kuhusu maisha nchini Afrika Kusini.

Lady Anne Barnard

Amekufa 6 Mei 1825
London, Uingereza
Kazi yake Mshairi

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anne Barnard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.