6 Mei
tarehe
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Mei ni siku ya 126 ya mwaka (ya 127 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 239.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1501 - Papa Marcello II
- 1574 - Papa Inosenti X
- 1871 - Victor Grignard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1912
- 1904 - Harry Martinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1974
- 1929 - Paul Lauterbur, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2003
- 1945 - Peter Mahamudu Msolla, mwanasiasa wa Tanzania
- 1965 - Leslie Hope, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 1973 - Nikola Grbić, mchezaji wa mpira kutoka Serbia
- 1985 - Faraja Kotta, mrembo wa Tanzania mwaka wa 2004
Waliofariki
hariri- 850 - Ninmyo, mfalme mkuu wa Japani (833-850)
- 1825 - Anne Barnard, mwandishi wa kike wa Uskoti na Afrika Kusini
- 1859 - Alexander von Humboldt, mpelelezi na mwanasayansi kutoka Ujerumani
- 1952 - Maria Montessori, mlezi kutoka Italia
- 1992 - Marlene Dietrich, mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka Ujerumani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Lukio wa Kurene, Mariano, Yakobo na wenzao, Veneri wa Milano, Benedikta wa Roma, Edbati, Petro Nolasco, Fransisko wa Laval n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 3 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |