Anne Kilango Malecela

Anne Kilango Malecela (amezaliwa tarehe 9 Januari 1956) ni mbunge wa jimbo la Same Mashariki katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Anne Malecela

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. ["Mengi kuhusu Anne Kilango Malecela". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 2010-11-13.  Mengi kuhusu Anne Kilango Malecela]

Viungo vya nnje hariri