Anouman Brou Félix
mmoja ya waanzilishi wa muziki wa Attie,mwimbaji wa Ivory Coast
Anouman Brou Félix (5 Februari 1935 - 3 Oktoba 2021) alikuwa mpiga gitaa wa nchini Ivory Coast.[1] Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa muziki wa Attie na akaunda ngoma ya Wamy mnamo 1970.[2]
Anouman Brou Félix | |
Amezaliwa | 5 Februari 1935 Adzopé |
---|---|
Nchi | Ivory Coast |
Kazi yake | mpiga gitaa na alikua mtengeneza mavazi kabla ya gitaa |
Wasifu
haririMzaliwa wa Adzopé 1935, wazazi wa Félix walifariki 1946. Aliondoka kuelekea Abidjan ambako aligundua utengenezaji wa mavazi kabla ya kujifunza gitaa.[1] Katika miaka ya 1960, alianzisha kikundi cha Ivoiry Band na kuanzisha ngoma Wamy akiwa Ufaransa.[3]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Ancienne gloire de la musique ivoirienne: Anoman Brou Felix se meurt", Abidjan.net, 2 Januari 2012. (French)
- ↑ "Prix d’Excellence 2013 : Anoma Brou Félix et Bamba Bakary faits Commandeurs de l’ordre du mérite…", Abidjan.net, 8 Agosti 2013. (French)
- ↑ Seck, Nago. "Anoman Brouh Félix", Afrisson, 14 Septemba 2012. (French) Archived from the original on [[21 Januari 2020]].
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anouman Brou Félix kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |