Antalya (zamani ulikuwa unajulikana kama Adalia; kutoka Kigiriki: Αττάλεια, Attália) ni mji uliopo katika pwani ya Mediterranea, kusini-magharibi mwa Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Antalya.

Pwani ya kihistoria ya Antalya.

Idadi ya wakazi waishio huku ni 775,157 (sensa ya mwaka 2007). Na kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2008, idadi ya wakazi wa Antalya ni 798,507 (makisio).

Mji wa Antalya umezungukwa na milima.

Maendeleo katika nyanja za utalii, zimeanza tangu miaka ya 1970, na kuwekwa katika viwango vya kimataifa.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Antalya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.