Mkoa wa Antalya
Mkoa wa Antalya ni moja kati mikoa 81 ya Uturuki. Mkoa upo mjini kusini-mashariki mwa pwani ya Mediteranea, kati ya Milima ya Taurus na Bahari ya Mediteranea. Mji mkuu wake ni Antalya wenye idadi ya wakazi takriban 714,000.
![]() | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Antalya nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediteranea |
Eneo: | 20,723 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 2,070,663 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 07 |
Kodi ya eneo: | 0242 |
Tovuti ya Gavana | http://www.antalya.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/antalya |
Wilaya na mijiEdit
MarejeoEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Antalya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |