Smosh

(Elekezwa kutoka Anthony Padilla)

Smosh ni jina la kisanii la waigizaji wa filamu na wachekeshaj wawili, yaani Ian Andrew Hecox (amezaliwa 30 Novemba, 1987) na Anthony Padilla (amezaliwa 16 Septemba, 1987) kutoka nchini Marekani. Wanatoa filamu zao hasa mtandaoni wakitumia YouTube.

  • Smosh (2006)
  • IanH
  • Ian is Bored
  • Lunchtime with Smosh
  • El Smosh (2012)
  • AskCharlie
  • AnthonyPadilla
Smosh
Smosh YouTube Live.jpg
Ian Andrew Hecox
Anthony Danger Padilla
Amezaliwa California, USA

MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Smosh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.