Aoba Fujino

Mchezaji wa mpira wa Miguu kutoka Japani

Aoba Fujino (alizaliwa 27 Januari 2004) ni mchezaji wa soka nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake nchini Japan pamoja na klabu ya Tokyo Verdy Beleza inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1][2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aoba Fujino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.