Aoife Mannion

Mchezaji wa mpira wa miguu kutoka timu ya Manchester United (amezaliwa 1995)

Aoife Mannion (alizaliwa 24 Septemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu,ambae anacheza kama beki wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Eire.[1] Hapo awali alichezea Uingereza, nchi yake ya kuzaliwa, katika mashindano ya wenye umri mdogo na alitwa kwenye timu ya taifa kwa mara ya kwanza wa juu mnamo Agosti 2019 lakini hakuwahi kuchezea Ireland hadi mnamo Februari 2023.[2][3]

Mannion akiwa na Manchester United mnamo 2023

Marejeo hariri

  1. "Mannion receives first Republic of Ireland call-up", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-29 
  2. Doyle, Paul (2016-03-19), "New Women’s Super League season brings new squads and a new intensity", The Observer (kwa en-GB), ISSN 0029-7712, iliwekwa mnamo 2024-04-29 
  3. Pyne, Anthony (2023-06-28). "Mannion, Campbell & Kiernan miss out on World Cup" (kwa Kiingereza). 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aoife Mannion kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.