Aosta

mji katika Bonde la Aosta, Italia

Aosta (kwa Kifaransa Aoste) ni makao makuu ya mkoa wa Bonde la Aosta, Italia kaskazini.

Muonekano wa Aosta


Aosta
Majiranukta: 44°44′00″N 7°19′00″E / 44.73333°N 7.31667°E / 44.73333; 7.31667
Nchi Italia
Mkoa Valle d'Aosta
Wilaya
Tovuti:  http://www.comune.aosta.it

Mji huo una wakazi 34,346 (2016).

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.