Aparajita Datta
Mhifadhi wa wanyamapori nchini India
Aparajita Datta (alizaliwa mnamo 1970) ni mwanaikolojia wa wanyamapori ambaye anafanya kazi katika Shirika la Uhifadhi wa Mazingira nchini India. [1] Utafiti wake katika misitu minene ya kitropiki ya Arunachal Pradesh umesaidia, kuondoa wawindaji haramu. Mnamo 2013, alikuwa mmoja wa wahifadhi nane waliopokea Tuzo la Whitley.
Marejeo
hariri- ↑ "Dr. Aparajita Datta – Wild Shades Of Grey". Sanctuary Asia, Vol. XXXV. 6 Juni 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-29. Iliwekwa mnamo 8 Februari 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aparajita Datta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |