Arbeiderpartiet (Ap; Chama cha Wafanyakazi), jina kamili Det norske Arbeiderparti (Chama cha Wafanyakazi Norwei), ni chama kikubwa cha kisiasa nchini Norwei. Kimeanzishwa huko mjini Arendal mwaka 1887 ili kuandaa wafanyakazi na kupigania jamii sawa ya ujamaa. Tangu Vita Kuu ya Pili ya Dunia Arbeiderpartiet kimekuwa chama kikubwa nchini Norwei.

Jens Stoltenberg anayekuwa Waziri Mkuu wa Norwei anahutubu kwa wafanyakazi hapo 1 Mei 2009.

Jens Stoltenberg (anayekuwa Wazairi Mkuu wa Norwei) amekuwa mkuu wa Arbeiderpartiet tangu mwaka wa 2002. Arbeiderpartiet kimeanzisha serikali pamoja na Sosialistisk Venstreparti na Senterpartiet (Stoltenberg II).

Viungo vya nje hariri