Arguni

kisiwa cha Indonesia

Arguni ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kaskazini wa rasi ya Bomberai kisiwani kwa Papua. Watu wakaao kisiwani kwa Arguni huongea Kiarguni.

Kisiwa cha Arguni
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.