Armavir (kwa Kiarmenia: Արմավիր; unajulikana kama Hoktemberyan, Hoktemberian, au Oktemberyan Kiarmenia: Հոկտեմբերյան wakati wa zama za Sovyeti mpaka 1992, na Sardarabad, Sardarapat au Sardar-Apad kabla ya 1932) ni mji uliopo magharibi mwa nchi ya Armenia.

Mji wa Armavir, Armenia

Ripoti ya sensa ya mwaka wa 2008 inataja idadi ya wakazi wapatao 26,387.

Tazama pia

hariri

Soma zaidi

hariri

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Armavir, Armenia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.