Arne Tiselius
Arne Wilhelm Kaurin Tiselius (10 Agosti 1902 – 29 Oktoba 1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza mbinu za kutenganisha protini. Mwaka wa 1948 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arne Tiselius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |