Arthur B. McDonald

Mwanafizikia wa Kanada

'

Arthur B. McDonald
Arthur B. McDonald
Amezaliwa29 Agosti, 1943
Kazi yakemwanafizikia kutoka nchi ya Kanada


Arthur Bruce McDonald (amezaliwa 29 Agosti, 1943) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Kanada. Hasa aligundua mbembeo wa nyutrino unaoonyesha kwamba nyutrino ina masi. Mwaka wa 2015, pamoja na Takaaki Kajita, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur B. McDonald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.