Arthur Harden
Arthur Harden (12 Oktoba 1865 – 17 Juni 1940) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza sifa za sukari na kazi za vimeng'enya. Mwaka wa 1929, pamoja na Hans von Euler-Chelpin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1936 alipewa cheo cha "Sir".
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arthur Harden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |