Asa Akira

Mwigizaji wa video za ngono wa Kimarekani

Asa Akira ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu za ponografia wa Marekani.

Akira mnamo Novemba 2016
Akira mnamo Novemba 2016

Akira ameonekana katika zaidi ya filamu 505 za watu wazima hadi ilipofika Mei 2016. Mnamo mwaka 2013, alikuwa mwigizaji wa tatu wa Kiasia baada ya Asia Carrera na Stephanie Swift kushinda tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike wa mwaka.[1]

Marejeo hariri

  1. "Girls - CraveOnline". CraveOnline (kwa en-US). Iliwekwa mnamo June 9, 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asa Akira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.