Asano Nagasato (alizaliwa 24 Januari 1989) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya Japan. Kaka yake Asano ni Genki Nagasato na dada yake Yuki Nagasato pia ni wachezaji wa mpira.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asano Nagasato kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.