Asha Rashid
Mchezaji mpira wa miguu Tanzania
Asha Rashid Mwalala (alizaliwa 1 Januari 1989).Ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu, akiichezea klabu ya wanawake ya Yanga Princess ya Tanzania na timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars nchini Tanzania.
Asha Rashid
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Tanzania |
Nchi anayoitumikia | Tanzania |
Kazi | association football player |
Mchezo | mpira wa miguu |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Asha Rashid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |